emblem

The United Republic of Tanzania

Tanzania Civil Aviation Authority-Consumer Consultative Council (TCAA-CCC)

Student Clubs

Baraza limeanzisha Vilabu vya Wanafunzi katika Shule za Sekondari zilizopo katika viwanja vikubwa vya Ndege ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpaka kufikia sasa, Baraza lina jumla ya Vilabu 55 katika Mikoa ya : Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Kagera,Mtwara,Kilimanjaro, Arusha , Dodoma , Tabora na Kigoma. Kati ya Vilabu 55, Vilabu 7 vipo Visiwani Zanzibar. Vilabu hivi vina lengo la kuchochea wanafunzi wa Shule za Sekondari kuvutiwa kusoma masomo ya Sayansi ili hatimaye wachukue fursa zilizopo katika soko la Usafiri wa Anga nchini Tanzania.